Rais wa Uganda Yoweri Museveni,amempandisha cheo mwanaye na kufikia ngazi ya Meja Jenerali. Muhoozi Kainerugaba anatambulika kama mt...
Rais wa Uganda Yoweri Museveni,amempandisha cheo mwanaye na kufikia ngazi ya Meja Jenerali.
Jenerali Kainerugaba amepinga kuwa baba yake anajitengenezea siasa za kifalme, laikini pia akiweka wazi malengo yake ya kuwa mwanasiasa.
Museven alipata ridhaa ya kuiongoza Uganda kwa kipindi cha miaka 5 mwezi Februari kufuatia uchaguzi mkuu ambao pia ulishutumiwa vikali na jumuiya ya ulaya na Marekani.