KENYA: Waziri wa Elimu, Amina Mohammed amejikuta katika kashfa ya rushwa inayohusisha kompyuta ambazo Rais Uhuru Kenyatta alinunua kwa s...
KENYA: Waziri wa Elimu, Amina Mohammed
amejikuta katika kashfa ya rushwa inayohusisha kompyuta ambazo Rais
Uhuru Kenyatta alinunua kwa shule za sekondari
-
Kulingana na ripoti ya ukaguzi, Wizara iliyoongozwa na Amina Mohammed ilinunua kompyuta 3,320 kwa shule za sekondari lakini iliweza kutoa kompyuta 1,107 tu
-
Mkaguzi huyo alisema kuwa kompyuta zilizopoteza zilikuwa na thamani ya shilingi milioni 153 za Kikenya sawa na zaidi ya bilioni 3.43 za Kitanzania
-
Wizara hiyo pia ilionekana kuwa imetumia shillingi milioni 1 za Kikenya kwa safari licha ya ugawaji wa Shilingi 440, 000 za Kikenya.