UTAFITI: Ripoti ya Umoja wa Mataifa yaitaja Tanzania kuwa nchi ya 153 katika orodha ya nchi zenye furaha duniani ikiwa ni nchi ya Nne ku...
UTAFITI: Ripoti ya Umoja wa Mataifa yaitaja Tanzania kuwa
nchi ya 153 katika orodha ya nchi zenye furaha duniani ikiwa ni nchi ya
Nne kutoka mwisho ikiwa ni namba ileile iliyoshika mwaka 2017.
-
Kwa mujibu wa utafiti huo Finland imeshika nafasi ya kwanza ikifuatiwa na Finland, Norway, Denmark, Iceland, Switzerland, Netherlands, Canada, New Zealand, Sweden na Australia.
Katika orodha hiyo mataifa mengine yaliyo katika nafasi za chini ni Yemeni(152), Sudani Kusini(154), Jamhuri ya Africa ya Kati(155) na Burundi(156) iliyoshika mkia.
-
Ripoti hiyo pia inaonesha kudondoka kwa Marekani katika viwango vya furaha hadi nafasi ya 18 huku taifa hilo kubwa kiuchumi likikabiliwa na kiribatumbo(obesity), matumizi ya mihadarati na sonona