http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

34 waangamia katika mafuriko Rwanda

Watu wasiopungua 34 wameaga dunia nchini Rwanda kufwatia mafuriko makubwa katika maeneo ya kaskazini mwa nchi hiyo. W...

Watu wasiopungua 34 wameaga dunia nchini Rwanda kufwatia mafuriko makubwa katika maeneo ya kaskazini mwa nchi hiyo.

Watu wasiopungua 34 wameaga dunia nchini Rwanda kufwatia mafuriko makubwa katika maeneo ya kaskazini mwa nchi hiyo.

Kulingana na mwandishi wa BBC nchini humo, barabara inayounganisha mji mkuu Kigali na miji ya Musanze na Rubavu Kaskazini Magharibi mwa Rwanda imekuwa haipitiki.
Vilima vilivyoko eno hilo vimeporomoka na kufunika barabara hiyo.

Hasara iliyopatikana kufwatia mafuriko hayo ni kubwa kwa mujibu wa naibu mkuu wa wilaya ya Gakenke ambayo imeathiriwa sana na mafuriko hayo .

Kiongozi huyo Bi Catherine Uwimana amesema
“Mvua kubwa ilinyesha tangu Jumamosi na kusababisha maporomoko makubwa ya ardhi ambayo hadi sasa watu 34 wamefariki dunia.

''Watu 19 waliojeruhiwa wamelazwa katika hospitali na zahanati za eneo hilo.
''Nyumba zaidi ya 400 zimeharibika kabisa huku miundo mbinu kama madaraja,barabara zinazounganisha kata,waya wa umeme, simu na mkonga wa mawasiliano yaani kila kitu kimesombwa na maji.”
Bi Uwimana ameonya kuwa kuna hofu ya maafa zaidi kwa sababu mvua bado inaendelea kunyesha kwa wingi katika eneo hilo.

COMMENTS


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

MAGAZETI$type=sticky$count=4


Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : 34 waangamia katika mafuriko Rwanda
34 waangamia katika mafuriko Rwanda
http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/660/amz/worldservice/live/assets/images/2016/05/08/160508175903_rwanda_floods_624x351_bbc_nocredit.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2016/05/34-waangamia-katika-mafuriko-rwanda.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2016/05/34-waangamia-katika-mafuriko-rwanda.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy