Rais John Magufuli ametengua uteuzi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Nyumba la Taifa(NHC), Bi. Blandina Nyoni kuanzia ...
Rais John Magufuli ametengua uteuzi wa
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Nyumba la Taifa(NHC),
Bi. Blandina Nyoni kuanzia leo tarehe 21 Machi, 2018
Pia ameivunja Bodi ya Shirika hilo na Uteuzi wa Mwenyekiti Mwingine utafanyika baadaye
Bi. Nyoni aliteuliwa kuiongoza Bodi hiyo Februari 25, 2017 baada ya Zakia Meghji kumaliza muda wake.
Pia ameivunja Bodi ya Shirika hilo na Uteuzi wa Mwenyekiti Mwingine utafanyika baadaye
Bi. Nyoni aliteuliwa kuiongoza Bodi hiyo Februari 25, 2017 baada ya Zakia Meghji kumaliza muda wake.