http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

Mwandishi Ansbert Ngurumo Akimbia ‘Wauaji’, Apewa Hifadhi Finland


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

MWANAHABARI Ansbert Ngurumo aliyewahi kuwa mhariri wa Magazeti ya Tanzania Daima na Mwanahalisi, amekimbilia nchini Finland na kupewa ...

Full Ripoti: Daktari Afichua Mume wa Zari alipewa Sumu.
Baba Amkata Amkata Makalio Mwanaye
TANZIA: Mzee aliyebuni na kuchora Nembo ya Taifa AFARIKI Dunia


MWANAHABARI Ansbert Ngurumo aliyewahi kuwa mhariri wa Magazeti ya Tanzania Daima na Mwanahalisi, amekimbilia nchini Finland na kupewa hifadhi kwa muda baada ya kudai amewakimbia aliowaita “wauaji” wake.

Ngurumo amethibitisha kuikimbia Tanzania ili kulinda uhai wake baada ya kuanza kuwindwa na watu wasiojulikana.
“Tangu mwaka jana nimekuwa nikipokea vitisho vingi na vyenye kuogofya kufuatia makala zangu kwenye gazeti la MwanaHalisi. Nimenusurika kuuawa mara kadhaa, lakini nashukuru Mungu hadi leo niko hai, ili kunusuru uhai wangu, nililazimika kujificha Mwanza tangu mwaka jana na baadaye kwenda Kenya, kabla ya kwenda Sweden na sasa Finland, ambako nimepewa hifadhi,” alisema Ngurumo.
 
Aliongeza kwamba hadhi aliyopewa Finland, siyo ya ukimbizini, bali ni “hifadhi ya kimataifa,” kuunusuru uhai wa mtu ambaye yuko katika hatari ya kuuawa nchini mwake.

Aidha, vyombo vya habari vya Finland na mitandao ya kijamii, vimeandika habari ya Ngurumo kukimbia Tanzania kwa hofu ya kuuawa.
“Nimezungumzia mkasa wangu wa kunusurika kudakwa na watu wasiojulikana, ambao wamekuwa wakipanga kuniua na wamejaribu mara kadhaa bila mafanikio, sasa nikaona niwakimbie, kwani kufa kijinga ni dhambi kubwa,” amesema Ngurumo.

Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Mwandishi Ansbert Ngurumo Akimbia ‘Wauaji’, Apewa Hifadhi Finland
Mwandishi Ansbert Ngurumo Akimbia ‘Wauaji’, Apewa Hifadhi Finland
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiQ5HThEnMjUE64BumjtL85vyIK81yNiJy0PmAx2aasswWMpqSdYFcjARR5lm8rdneJbIUcyfF_cE6SaMNvKMYTNUGj5YFjw-5kMc67UPaY0J9aizBSGd7b8wg9ZhQ9u3WfSzY9lYvCXFWQ/s640/28765442_1777485705637545_657538671016148992_n.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiQ5HThEnMjUE64BumjtL85vyIK81yNiJy0PmAx2aasswWMpqSdYFcjARR5lm8rdneJbIUcyfF_cE6SaMNvKMYTNUGj5YFjw-5kMc67UPaY0J9aizBSGd7b8wg9ZhQ9u3WfSzY9lYvCXFWQ/s72-c/28765442_1777485705637545_657538671016148992_n.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2018/03/mwandishi-ansbert-ngurumo-akimbia.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2018/03/mwandishi-ansbert-ngurumo-akimbia.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy