http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

Mvua yaleta maafa kwa Jeshi la Polisi


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

Mvua zilizoambatana na upepo mkali zilizonyesha usiku wa jana zimeacha athari kubwa kwa Jeshi la Polisi kwa kuharibikiwa na jengo lao l...

Tamko la TEF baada ya Star Tv kutangaza kufanya mahojiano na Makonda
Watu watatu wauwawa kwa kudaiwa kuwa majambazi. mwanza
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo Aonywa
Mvua zilizoambatana na upepo mkali zilizonyesha usiku wa jana zimeacha athari kubwa kwa Jeshi la Polisi kwa kuharibikiwa na jengo lao la ofisi pamoja na kujeruhiwa askari mmoja.
Akizungumza Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kipolisi wa Kinondoni,  ACP Muliro Jumanne Muliro amekiri kutokea kwa tukio hilo na kusema ofisi ndogo iliyopo ndani ya jengo la serikali ya Mtaa wa Goba limeharibika kufuatia kuangukiwa na nguzo ya mnara wa simu kuangukia.
"Askari mmoja amejeruhiwa katika ajali hiyo ila alifanikiwa kukimbizwa katika hospitali ya Taifa Muhimbili kwa matibabu", amesema Kamanda Muliro.
Mbali na tukio hilo, mvua zilizonyesha usiku wa jana (Machi 07, 2018) zimeweza kuwaathiri pia baadhi ya jamii kwa kuezua paa za nyumba zao na kusababisha kukosa makazi.

Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Mvua yaleta maafa kwa Jeshi la Polisi
Mvua yaleta maafa kwa Jeshi la Polisi
https://www.eatv.tv/sites/default/files/styles/detailpageimg/public/news/2018/03/08/ACP%20Muliro.jpg?itok=i650gTMk×tamp=1520496109
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2018/03/mvua-yaleta-maafa-kwa-jeshi-la-polisi.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2018/03/mvua-yaleta-maafa-kwa-jeshi-la-polisi.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy