http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

Jeshi la Polisi latoa maana ya maandamano


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

Jeshi la Polisi leo limetoa onyo kali kwa kikundi kinachohamasisha maandamano ya kuiangusha Serikali kupitia mtandao wa Telegram am...

Mama, watoto wamwagiwa tindikali
Gambo amchimbia mkwara Lema
Nyota wa mchezo wa raga auwawa
Jeshi la Polisi leo limetoa onyo kali kwa kikundi kinachohamasisha maandamano ya kuiangusha Serikali kupitia mtandao wa Telegram ambapo limesema kuwa kitendo hicho ni sawa na uhaini.
Akizungumza na vyombo vya habari leo Kamishna wa Oparesheni na Mafunzo wa jeshi hilo, Nsato Marijani amesema kwamba kumekuwa na kikundi ambacho kinatumia mtandao huo kuhamasisha maandamano kinyume cha sheria na kutaka kwenda hadi Ikulu kufanya watakayo.
"Sisi kama jeshi la polisi tunawataka kufanya mambo kwa mujibu wa sheria na siyo vinginevyo kwani kitendo cha kufanya maandamano ukiwa na nia ya kuiondoa serikali ni Uhaini. Hatua kali zitachukuliwadhidi ya watu watakaovunja sheria na tusije kulaumiwa kwa lolote," Kamanda Nsato.
Hata hivyo amesema kuwa anaamini wengi wanaopanga mipango hiyo ni vijana na anaamini kuwa wengi wao wameingia huko kwa kufuata mkumbo na kutaka wazazi wachukue nafasi zao kuwaonya watoto wao

Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Jeshi la Polisi latoa maana ya maandamano
Jeshi la Polisi latoa maana ya maandamano
https://www.eatv.tv/sites/default/files/styles/detailpageimg/public/news/2018/03/09/maandamano%20mangee.jpg?itok=YliMgKBf×tamp=1520605305
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2018/03/jeshi-la-polisi-latoa-maana-ya.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2018/03/jeshi-la-polisi-latoa-maana-ya.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy