http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

CHADEMA YAMSIMAMISHA UWONGOZI KIONGOZI KILIMAJARO


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

HALI si shwari ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mkoa wa Kilimanjaro, baada ya chama hicho kuchukua hatua ya kumsim...

Polisi watatu kortini wakituhumiwa kupokea rushwa
JESHI LA POLISI LIMEPAMBANA KWA TAKRIBANI MASAA MATATU
MBUNGE WA JIMBO LA UBUNGO AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MIEZI MITATU.

HALI si shwari ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mkoa wa Kilimanjaro, baada ya chama hicho kuchukua hatua ya kumsimamishwa uongozi Mwenyekiti wa Baraza la Vijana, Dickson Kibona.
Kibona alisimamishwa kazi Februari 28, mwaka huu, ikiwa zimepita siku 11 tangu kufanyika kwa uchaguzi wa marudio wa kiti cha ubunge Jimbo la Siha, ambalo Chadema iliangushwa na Chama Cha Mapinduzi katika uchaguzi huo.
Taarifa kwa umma iliyotolewa jana na Katibu wa Chadema, Kanda ya Kaskazini, Amani Golugwa, imeeleza kuwa Kibona anasimamishwa kazi kupisha uchunguzi wa tuhuma dhidi yake.
Waraka huo kwa umma haujaeleza wazi kwamba Kibona anasimamishwa kazi kupisha uchunguzi gani.
Sehemu ya waraka inasema: “Ofisi ya Chadema Kanda ya Kaskazini, ambayo ni mamlaka ya nidhamu na uwajibishaji kwa viongozi wa mikoa, ilimwandikia barua Kibona ambaye ni Mratibu wa Bavicha Kilimanjaro, kwa mujibu wa ibara ya 6.5.2 ya kanuni za chama ya utaratibu wa kuchukua hatua ya kinidhamu sehemu ya kazi kuhusu tuhuma zinazomkabili kama kiongozi na kama mwanachama wa Chadema.”
Kwa mujibu wa maelekezo hayo ya Golugwa ambayo yanasema kwa uzito na unyeti wake, Ofisi ya Kanda imeelekeza Kibona kusimama na kupisha uchunguzi.
Imeeleza kuwa hatua hiyo ni ya kiutawala na itatoa fursa kwa kipindi ambacho Kibona ameelekezwa kwenye barua aliyopewa kujibu tuhuma kuhusu ama aachishwe uongozi au afukuzwe uanachama kwa mujibu wa ibara ya 6.3.4 (b) na (c)

Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : CHADEMA YAMSIMAMISHA UWONGOZI KIONGOZI KILIMAJARO
CHADEMA YAMSIMAMISHA UWONGOZI KIONGOZI KILIMAJARO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjm3TMsH3M6_VJtAeT9pwNR34EJRaALMu6EpRNVDP8NX8_DYCvWX9Vk9LkzIqiVhsevvZ8EhdSj8XjBjY-gGxfS1I8nat1qaKZRqBUtiP3zBK_GtJiCiZaj7x7CpP8Y6qxST1yhL5qIKBdF/s640/chadema.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjm3TMsH3M6_VJtAeT9pwNR34EJRaALMu6EpRNVDP8NX8_DYCvWX9Vk9LkzIqiVhsevvZ8EhdSj8XjBjY-gGxfS1I8nat1qaKZRqBUtiP3zBK_GtJiCiZaj7x7CpP8Y6qxST1yhL5qIKBdF/s72-c/chadema.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2018/03/chadema-yamsimamisha-uwongozi-kiongozi.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2018/03/chadema-yamsimamisha-uwongozi-kiongozi.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy