RATIBA ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara msimu wa 2017-2018 imetoka na itatanguliwa na mchezo wa Ngao ya Jamii, baina ya mabingwa wate...
RATIBA ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara msimu wa 2017-2018 imetoka na itatanguliwa na mchezo wa Ngao ya Jamii, baina ya mabingwa watetezi, Yanga SC dhidi ya washindi wa Kombe la Shirikisho la Soka nchini (TFF), michuano ijulikanayo kama Azam Sports Federation Cup Agosti 23, mwaka huu Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Pazia la Ligi Kuu inayorushwa moja kwa moja na Televisheni ya Azam, litafunguliwa rasmi Agosti 27, mwaka huu kwa timu zote 16 kuingia viwanjani.
AGOSTI 26, 2017
Ndanda Vs Azam -Nangwanda
Mwadui Vs Singida- Mwadui
Mtibwa Vs Stand – Manungu
Simba Vs Ruvu – Taifa
Kagera Vs Mbao -Kaitaba
Njombe Vs Prison- Sabasaba
Mbeya Vs Majimaji- Sokoine