http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

Mama Samia awataka wananchi wamuunge mkono JPM

Makamu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amewataka wananchi kwa pamoja kuunga mkono jitihada zinazofanywa na ...

Makamu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amewataka wananchi kwa pamoja kuunga mkono jitihada zinazofanywa na serikali ya awamu ya tano ili waweze kuifikisha nchi katika uchumi wa kati.
Mama Samia ametoa kauli hiyo wakati alipokuwa akitoa salamu zake katika kuadhimisha siku ya wanawake duniani leo Machi 8, 2018 ambapo kauli mbiu ya mwaka huu inasema kuelekea uchumi wa viwanda tuimarishe usawa wa kijinsia na uwezeshaji wa wanawake vijijini.
"Tuimalishe sasa maendeleo ya wanawake kushuka kule vijijini, tuwaibue wa vijijini na wenyewe waweze kujua ni jambo gani linaendelea ili watoe mchango wao katika kuelekea Tanzania ya viwanda.  Katika kuandimisha siku hii ya wanawake duniani, ninawaombe kwa dhati kabisa muunge mkono serikali katika jitihada zote ambazo tunafanya", amesema Mama Samia.
Pamoja na hayo, Mama Samia ameendelea kwa kusema "kila mmoja pale alipo aunge mkono serikali ili azma tuliyoikusudia iweze kutimia na sote kwa pamoja tuingie kwenye maendeleo ya viwanda na tuipeleke nchi yetu kwenye uchumi wa kati pale itakapofika 2025".
Kwa upande mwingine, Makamu wa Rais amesema mpaka sasa jitihada serikali ya Tanzania imefanya katika kuhakikisha inamuinua mwanamke na itaendelea kufanya hivyo siku zote.

COMMENTS


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

MAGAZETI$type=sticky$count=4


Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Mama Samia awataka wananchi wamuunge mkono JPM
Mama Samia awataka wananchi wamuunge mkono JPM
https://www.eatv.tv/sites/default/files/styles/detailpageimg/public/news/2018/03/08/Mama%20Samia.jpg?itok=R1Nq7mq0×tamp=1520500632
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2018/03/mama-samia-awataka-wananchi-wamuunge.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2018/03/mama-samia-awataka-wananchi-wamuunge.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy