http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

MTU MMOJA AUAWA AKIDHANIWA KUWA NI MWIZI WA PIKIPIKI .


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

Na.Vero Ignatus ,Arusha. Mtu moja ambaye jina lake hajijafahamika ameuawa na wananchi wenye hasira kali huko maeneo ya kwa Mrombo Jijini...

Mwenyekiti wa kitongoji auawa...!!!
Kikwete ateua watu tisa kusimamia bodi ya Taasisi yake
Makonda azindua barabara Jijini Dar es Salaam Leo



Na.Vero Ignatus ,Arusha.

Mtu moja ambaye jina lake hajijafahamika ameuawa na wananchi wenye hasira kali huko maeneo ya kwa Mrombo Jijini Arusha ,akidhaniwa kuwa ni mwizi wa pikipiki baada ya mtu huyo kupita na kufananishwa na waendesha pikipiki hao.

Kamanda wa polisi mkoa wa Arusha Charles Mkumbo amethibitisha kutokea kwa tukio hilo ambapo amesema kuwa majira ya saa saba mchana wananchi hao walimuona mtu huyo wakadania kuwa ndiye aliyewahi kumnyanyanya mwenzao pikipiki hivyo wakaanza kumshambulia na kumburuza ambapo hadi jeshi la polisi kufika eneo la tukio mtu huyo alikuwa tayari ameshachoka na hali yake ilikuwa mbaya wakiwa njiani kumpeleka hospitali alifariki.

Kamanda Charles Mkumbo amewataka wananchi kutochukua sheria mkononi kwani wanaweza kumdhuru mtu ambaye hausiki na tukio amesema kuwa wanapomuhisi mtu kuwa ni muhalifu watoe taarifa kwa jeshi la polisi ili sheria ichukue mkondo wake.

Hadi sasa jeshi la polisi mkoani hapa linawashikilia watu watano ambao ni waendesha pikipiki kwa kuhusika katika tukio hilo,mwili wa marehemu umehifadhiwa katika hospitali ya maountmeru ukisubiria ndugu na jamaa kwenda kumtambua.

Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : MTU MMOJA AUAWA AKIDHANIWA KUWA NI MWIZI WA PIKIPIKI .
MTU MMOJA AUAWA AKIDHANIWA KUWA NI MWIZI WA PIKIPIKI .
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhq1ZFQF-OTWGgd4_hAXpOPOitPyWdEFiQoOMEK4MUo1jW6_zvuCMaNhbnnIrYQ2jZnljQ0e_XvbWozraZCZhafXtyogR2HGFT-fE6OT8iMl4HhhOEZLesMsRj_YXDWGlqIPi01uwHdSQ8c/s640/JC9A4111%25284%2529.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhq1ZFQF-OTWGgd4_hAXpOPOitPyWdEFiQoOMEK4MUo1jW6_zvuCMaNhbnnIrYQ2jZnljQ0e_XvbWozraZCZhafXtyogR2HGFT-fE6OT8iMl4HhhOEZLesMsRj_YXDWGlqIPi01uwHdSQ8c/s72-c/JC9A4111%25284%2529.JPG
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2017/03/mtu-mmoja-auawa-akidhaniwa-kuwa-ni.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2017/03/mtu-mmoja-auawa-akidhaniwa-kuwa-ni.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy