http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

Ushindi wa Trump Waacha Kilio Bungeni Dodoma


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

Naibu Spika wa Bunge, Dk. Tulia Ackson amesema wabunge wanawake wamesikitishwa na kushindwa kwa mgombea urais wa Marekani kwa tiketi ya...

Marekani na Urusi zatupiana maneno juu ya Syria
Waasi wasema watu 100, wauawa DRC, wakati wa maandamano
MKUTANO WA WADAU WA UTALII KUFANYIKA ARUSHA KESHO



Naibu Spika wa Bunge, Dk. Tulia Ackson amesema wabunge wanawake wamesikitishwa na kushindwa kwa mgombea urais wa Marekani kwa tiketi ya Chama cha Democrat, Hillary Clinton.


Dk. Tulia alitoa kauli hiyo bungeni mjini Dodoma jana, baada ya kutambulisha wageni mbalimbali.


Alisema walitarajia mambo yangekuwa mazuri upande wao akiwa mama (wanawake), lakini haikuwezekana.


“Safari hii haikuwezekana, asikate tamaa maana baada ya miaka minne mambo yanaweza kuwa mazuri zaidi kuliko ilivyokuwa sasa. Nampa pole mama Clinton kwa kuwa safari hii haikuwezakana,” alisema Dk Tulia huku akishangiliwa na wabunge wanawake na kuongeza:


“Nasikia kuna watu hapa wanasema tungempeleka mheshimiwa fulani… katika maeneo yale mama Clinton angeshinda,” alisema.


Kutokana na kile kilichoonekana kupigwa butwaa na uchaguzi huo, kabla ya kuuliza swali la nyongeza jana asubuhi, Mbunge wa Viti Maalumu, Suzan Lyimo (Chadema), alisema ana masikitiko makubwa kwa sababu Hillary Clinton ameshindwa uchaguzi.


“Kwa niaba ya wanawake wenzangu, nampa pole mama Clinton kwa kushindwa uchaguzi, tumeumia sana na tumerudi nyuma,” alisema.


Kauli hiyo ilimfanya Dk. Tulia kumtaka aeleze amepata wapi taarifa wakati bado wabunge wanawake wana faraja Hillary angeweza kushinda.


Hata hivyo, akijibu swali la Suzan, Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Khamis Kigwangala, alimpa pole Hillary kwa kushindwa kwenye uchaguzi huo.

Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Ushindi wa Trump Waacha Kilio Bungeni Dodoma
Ushindi wa Trump Waacha Kilio Bungeni Dodoma
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhTTcSUlcyk82bAzmVZwOj_rohIm9BhdTMe5b_LEDr07AiJgdjtyA4miSqHEVsAyK2jLf21Krxe_t9D5cAnJwhYC7lfnn2bTbEkuEduvQX05IJIrKZlDB570jOSfxBj9ND-kfRKTRD_5tQ/s640/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhTTcSUlcyk82bAzmVZwOj_rohIm9BhdTMe5b_LEDr07AiJgdjtyA4miSqHEVsAyK2jLf21Krxe_t9D5cAnJwhYC7lfnn2bTbEkuEduvQX05IJIrKZlDB570jOSfxBj9ND-kfRKTRD_5tQ/s72-c/1.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2016/11/ushindi-wa-trump-waacha-kilio-bungeni.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2016/11/ushindi-wa-trump-waacha-kilio-bungeni.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy