http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

TAHADHARI YA UWEPO WA MAGONJWA YA MLIPUKO YATOLEWA


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

Serikali imewataka wananchi kuendelea kuchukua tahadhari dhidi ya magonjwa ya mlipuko kwa kunawa mikono kila mara kwa maji tiririka na sabun...

Waziri Hoi hospitalini Alazwa kuokoa Maisha yake
Kiongozi wa upinzani amfuata Magufuli
KILIMANJARO. Mchungaji ashikiliwa na polisi kwa uchochezi wa kisiasa








Serikali imewataka wananchi kuendelea kuchukua tahadhari dhidi ya magonjwa ya mlipuko kwa kunawa mikono kila mara kwa maji tiririka na sabuni na kuepuka kugusana.


Hayo yameelezwa na mganga mkuu wa mkoa wa Dodoma Thomas Rutachunzibwa, akieleza kuwa kwa sasa mkoa huo upo kwenye uangalizi maalum kufuatia tishio la ugonjwa wa kipindupindu.


"Suala la ugonjwa wa kipindupindu, si mikoa ya kanda ya kati tumeathirika na bado mlipuko unaendelea, tunaweza kupumzika wiki moja lakini wiki inayofuata ugonjwa ukaibuka tena, kwa sasa hatuna wagonjwa lakini bado tupo kwenye kipindi cha matazamio, kwa hiyo bado tuna mlipuko" alisema 


Amesema ugonjwa wa kipindupindu unazuilika kwa kuzingatia usafi, kula vyakula vya moto wakati wote, kuepuka vyakula vilivyolala (Viporo) na kwamba watu wasipochukua tahadhari inaweze kupelekea wagonjwa kuongezeka.


Kuhusu magonjwa mengine ya mlipuko kama Mpox na marburg, amesema hakuna taarifa kutoka wizara ya afya, lakini amesisitiza tahadhari ni muhimu kwa kuwa magonjwa hayo yameripotiwa kwenye nchi jirani ambazo tunamuingiliano nao.Virusi vya mpox vimeripotiwa kuenea katika nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.


Mganga mkuu wa Dodoma Thomas Rutachunzibwa amefungua warsha ya siku moja kwa waandishi wa habari wa mikoa ya Dodoma, Singida na Manyara kuhusu mpango wa serikali wa M-mama unaolenga kutoa msaada kwa wakina mama wajawazito kwa kuwapatia usafiri wa dharura bure kwenda kupata huduma kwenye vituo vya afya au hospitali kwa kupiga simu namba 115.



Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : TAHADHARI YA UWEPO WA MAGONJWA YA MLIPUKO YATOLEWA
TAHADHARI YA UWEPO WA MAGONJWA YA MLIPUKO YATOLEWA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiqxQX2E9H6TporaVWuD2Vgf-nTuknQaQKD15DXgDMdXz5pEGu2PQMc-UKEEjogzvQL9_wLgLZhJBftjLQYKJf78h22cs0rqOw57EdZmt-01jLwIoLL2-K5-6NXq1mSW5oVDaXAgoeUKJ4yklqc3WSz6QBcNO4128vjRksHyD26eIWNwhyJR9gQVid8o9Y/s320/1000112076.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiqxQX2E9H6TporaVWuD2Vgf-nTuknQaQKD15DXgDMdXz5pEGu2PQMc-UKEEjogzvQL9_wLgLZhJBftjLQYKJf78h22cs0rqOw57EdZmt-01jLwIoLL2-K5-6NXq1mSW5oVDaXAgoeUKJ4yklqc3WSz6QBcNO4128vjRksHyD26eIWNwhyJR9gQVid8o9Y/s72-c/1000112076.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2024/10/tahadhari-ya-uwepo-wa-magonjwa-ya.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2024/10/tahadhari-ya-uwepo-wa-magonjwa-ya.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy