Mwanaume anayefahamika kwa jina la Johanes Mariki (kulia) mkazi wa wilaya ya Arumeru mkoani Arusha, akifurahia jambo akiwa na mwanae aitwa...
Mwanaume anayefahamika kwa jina la Johanes Mariki (kulia) mkazi wa wilaya ya Arumeru mkoani Arusha, akifurahia jambo akiwa na mwanae aitwae Joel Johanes ambaye alipotelea kwenye mlima wa Kwaraa wilayani Babati na kupatikana baada ya siku 26 huku mwili wake ukiwa umedhoofu zaidi.
Joel alipotea kwenye mlima huo mnamo Septemba 14, 2024 na kuja kupatika Oktoba 9, 2024, na sasa anatimiza siku ya saba akiwa anaendelea na matibabu katika Hospital ya mkoa wa Manyara.