http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

BABA ATUHUMIWA KUUA MTOTO WAKE WA MWAKA MMOJA


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

Kijana mmoja anayejulikana kwa jina la Geremiah Kwang Umri wa Miak 32 mkazi wa Kijiji cha Orkitikiti wilayani Kiteto mkoani Manyara, amefik...

Madereva wa malori waliotekwa DR Congo waokolewa
Trump sasa anaamini Obama alizaliwa Marekani
Serikali inachukua hatua dhidi ya malalamiko ya ukiukwaji wa maadili dhidi ya viongozi wa Umma na matumizi ya TEHAMA sarikalini


Kijana mmoja anayejulikana kwa jina la Geremiah Kwang Umri wa Miak 32 mkazi wa Kijiji cha Orkitikiti wilayani Kiteto mkoani Manyara, amefikishwa mahakamani kwa tuhuma za mauaji ya mtoto wake wa kumzaa mwenye umri wa mwaka mmoja na nusu.


Katika tuhuma hizo inadaiwa kuwa Geremiah alimuua mtoto huyo kwa kumpigiza chini mara kadhaa kisha kumsababishia majeraha mbalimbali sehemu ya mwili wake

Akiwa mahakamani hapo Geremiah kabla ya kusomewa shitaka lake hilo alitakiwa asijibu chochote kwa sababu mahakama hiyo haina uwezo wa kusikiliza kesi hiyo

Mwendesha mashtaka wa mahakama ya wilaya ya Kiteto Wilfred Mollel mbele ya hakimu wa Mahakama Mosi Soro Sasy aliileza mahakama kuwa mtuhumuwa alitenda kosa hilo terehe 9/06/2024 katika Kijiji cha Orkitikiti Kata ya Lengatei

Amesema mtuhumiwa Geremiah amlitenda kosa kinyume na kifungu cha 196 ya kanuni ya adhabu sura ya 16 kama ilivyofanyiwa mapitio mwaka 2022.

Kwa kuwa mtuhumiwa hakutakiwa kujibu lolote Hakimu Sasy alieleza mahakamani hapo kuwa kesi hiyo inahamishiwa babati ambako mtuhumiwa naye baada ya kuulizwa kama anataka usaidizi wa kisheria aliomba kupatiwa usaidizi huo na kukubaliwa.

#wepesitv #wepesitvupdates

Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : BABA ATUHUMIWA KUUA MTOTO WAKE WA MWAKA MMOJA
BABA ATUHUMIWA KUUA MTOTO WAKE WA MWAKA MMOJA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjQ_bpnv_KRNcla5UppWgnTvUKx8nTUELho_UUx27JRqsGKBgqABs1AsPAJLp9J9RX6xlnDhcNfrIufG0wzhYHan84uoYHGrPXSmu4t8_zo0YzyQ8Fl633rUscoEP4BgjsEyVvZZAYX_VGTN5X-GM_aEa9rxKkc8FsTe4_Vzk7YhMxf16nedd-sKTGS0Gg/s320/WEPESI%20NEW.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjQ_bpnv_KRNcla5UppWgnTvUKx8nTUELho_UUx27JRqsGKBgqABs1AsPAJLp9J9RX6xlnDhcNfrIufG0wzhYHan84uoYHGrPXSmu4t8_zo0YzyQ8Fl633rUscoEP4BgjsEyVvZZAYX_VGTN5X-GM_aEa9rxKkc8FsTe4_Vzk7YhMxf16nedd-sKTGS0Gg/s72-c/WEPESI%20NEW.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2024/10/baba-atuhumiwa-kuua-mtoto-wake-wa-mwaka.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2024/10/baba-atuhumiwa-kuua-mtoto-wake-wa-mwaka.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy