http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

BREAKING: Huyu ndie Katibu Mkuu Mpya wa CCM Taifa

Leo May 29, 2018 Dkt. Bashiru Ali Kakurwa ndiye aliyechaguliwa kuwa Katibu Mkuu Mpya wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambapo alipendekezwa n...

Leo May 29, 2018 Dkt. Bashiru Ali Kakurwa ndiye aliyechaguliwa kuwa Katibu Mkuu Mpya wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambapo alipendekezwa na kupitishwa na wajumbe wote waliohudhuria kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa NEC Ikulu jijini DSM.
Hii ni baada ya Aliyekuwa Katibu Mkuu Kinana kuomba kujiuzulu na kukubaliwa na Rais Magufuli ambaye ni Mwenyekiti wa Chama hicho Taifa.
Imethibitishwa katika taarifa ya kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) iliyoketi tarehe 28-29 May 2018 Jijini Dar es Salaam.
Dkt. Bashiru Ally alikuwa Mwenyekiti wa kamati iliyoundwa na Rais Magufuli kufanya Uhakiki wa mali za Chama cha Mapinduzi CCM.

COMMENTS


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

MAGAZETI$type=sticky$count=4


Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : BREAKING: Huyu ndie Katibu Mkuu Mpya wa CCM Taifa
BREAKING: Huyu ndie Katibu Mkuu Mpya wa CCM Taifa
http://millardayo.com/wp-content/uploads/2018/05/KAKURWA-660x400.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2018/05/breaking-huyu-ndie-katibu-mkuu-mpya-wa.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2018/05/breaking-huyu-ndie-katibu-mkuu-mpya-wa.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy