Watu 13 wanashikiliwa na Polisi mkoani Morogoro kwa makosa mawili tofauti wakiwemo 11 kwa tuhuma za kuhusika katika tukio la kifo cha Di...
Watu 13 wanashikiliwa na Polisi mkoani Morogoro kwa makosa mawili
tofauti wakiwemo 11 kwa tuhuma za kuhusika katika tukio la kifo cha
Diwani wa CHADEMA huku wengine wawili raia wa Kenya wakishikiliwa kwa
tuhuma za utapeli wakijifanya wao ni (TRA).
Kwa
mujibu wa kamanda wa Polisi mkoa wa Morogoro, Ulrich Matei amesema
baada ya tukio la kuuwawa kwa Diwani wa Kata ya Namwawala wilaya ya
Kilombero Godfrey Luena, Jeshi la Polisi mkoani humo liliendesha msako
wa kuwabaini wahusika wa tukio hilo ambapo mpaka sasa jumla ya watu 11
wanashikiliwa kwa tuhuma za kuhusika na mauaji hayo.
Katika hatua nyingine, watu nwawili ambao ni raia wa Kenya wanashikiriwa na polisi Mkoani humo kwa tuhuma za kujihusisha na utapeli kwa kujifanya ni mawakala wa mamalaka ya mapato nchini.
Msikilize hapa chini Kamanda wa Polisi Mkoani Morogoro, Ulrich Matei akifafanua zaidi