http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

WATU WAWILI WAFARIKI, SITA HOI KWA KULA MZOGA WA NG'OMBE

Wakazi wawili wa Kijiji cha Ilonga Kata ya Mamkoswe wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa, wamekufa na wengine sita wamelazwa katika zahanati ya k...




Wakazi wawili wa Kijiji cha Ilonga Kata ya Mamkoswe wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa, wamekufa na wengine sita wamelazwa katika zahanati ya kijiji hicho wakipatiwa matibabu baada ya kula mzoga wa ng'ombe.

Taarifa kutoka kijijini hapo zimesema baada ya baadhi ya wakazi kula mzoga huo wa ng’ombe walianza kuhara na kutapika, hatua iliyozua taharuki kubwa kwa wananchi, wakidhani kuwa kumeibuka mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu kijijini hapo.

Mkuu wa Wilaya ya Kalambo, Julieth Binyura amethibitisha kufa kwa watu hao wawili na wengine sita kulazwa katika zahanati ya kijiji hicho kwa matibabu kutokana na mkasa huo wa kula mzoga wa ng’ombe.

Hata hivyo, Mkuu huyo wa wilaya alikanusha uvumi wa kuibuka kwa kipindupindu, kama ilivyozushwa kijijini hapo.

"Wakazi hao walikula mzoga wa ng'ombe ambaye alikufa mfupi baada ya kutibiwa na wataalamu wa mifugo.

“Si kuwa wameugua ugonjwa wa kipindupindu… hapana ni baada ya kula mzoga wa mnyama huyo," alisisitiza Binyura, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama wilayani humo.
Diwani wa Kata ya Mambwekoswe, Julius Kanowali alisema mkasa huo ulitokea juzi katika kijiji hicho cha Ilonga, ambapo watu wawili walikufa ghafla huku wengine sita wakiugua ghafla kuhara na kutapika.

COMMENTS


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

MAGAZETI$type=sticky$count=4


Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : WATU WAWILI WAFARIKI, SITA HOI KWA KULA MZOGA WA NG'OMBE
WATU WAWILI WAFARIKI, SITA HOI KWA KULA MZOGA WA NG'OMBE
https://daudi2016.files.wordpress.com/2017/01/78afb-2.jpg?w=800&h=537
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2018/03/watu-wawili-wafariki-sita-hoi-kwa-kula.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2018/03/watu-wawili-wafariki-sita-hoi-kwa-kula.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy