Shule ya Sekondari ya Korigwe Girls iliyoko Korogwe mjini Wilayani Korogwe Mkoa wa Tanga, inaungua moto muda huu. Bado haijaweza kufahamika ...
Shule ya Sekondari ya Korigwe Girls iliyoko Korogwe mjini Wilayani Korogwe Mkoa wa Tanga, inaungua moto muda huu. Bado haijaweza kufahamika chanzo cha ajali ya moto huo.
Updates:
Watu kadhaa wamejeruhiwa katika ajali hiyo ya moto
Moto huo ulioanza saa 3 usiku wa leo chanzo chake hakijajulikana, na wanafunzi wote walikuwa “Prepo”, hivyo waliofikishwa Hospitali ya Wilaya, Magunga, walipata mshtuko, lakini karibu wote takribani 15 wanaendelea vizuri.