http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

TANESCO yakata umeme Ngaramtoni kwa deni la Milioni 115

Mbunge wa Jimbo la Monduli  Julius Kalanga  amezungumza na waandishi wa habari leo  March 5, 2018  na kusema kuwa maji yamekuwa ya shida...

Mbunge wa Jimbo la Monduli Julius Kalanga amezungumza na waandishi wa habari leo March 5, 2018 na kusema kuwa maji yamekuwa ya shida katika wilaya ya Monduli baada ya Shirika la Umeme (TANESCO) kukata umeme kwenye chanzo cha maji Ngaramtoni kwa  kudaiwa deni na TAMISEMI ambalo ni zaidi ya Tshs Milion 115.
Akizungumzia suala hilo Mbunge huyo amesema wananchi hawahusiki na malipo hayo na kinachotakiwa kifanyike ni deni hilo kulipwa ili huduma hiyo irudishwe haraka iwezekanavyo na kuepusha kadhia zaidi kwa wananchi ya maji.
Kwa upande wake Kaimu Meneja wa TANESCO mkoa wa Arusha Donasiasa Shamba amesema wamekata umeme katika eneo hilo kwa deni la zaidi ya Tshs Milioni 115 ikiwa ni pamoja na deni la nyuma na kusema baada yakuomba wameanza kupata maji leo ambapo wamepewa wiki moja kuhakikisha wanakamilisha deni hilo la sivyo watakatiwa tena maji.

COMMENTS


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

MAGAZETI$type=sticky$count=4


Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : TANESCO yakata umeme Ngaramtoni kwa deni la Milioni 115
TANESCO yakata umeme Ngaramtoni kwa deni la Milioni 115
http://millardayo.com/wp-content/uploads/2018/03/Kroboi-Lamp-kerosene-lamps-history-design-660x400.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2018/03/tanesco-yakata-umeme-ngaramtoni-kwa.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2018/03/tanesco-yakata-umeme-ngaramtoni-kwa.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy