http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

Semakafu atoa mwongozo umri wa mwanafunzi kujiunga kidato cha tano/sita, 2018


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dkt. Avemaria Semakafu ametatua utata ulioibuka kuhusu kigezo cha umri wa mwanafunz...

Majibu ya barua ya mkazi wa Dodoma aliyoandika kwa Rais Dkt Magufuli
Rais Magufuli Ashiriki Msiba Wa Mzee Maarufu Wa Chato Admirabilis Mbabe Manyama (82) Chato Mkoani Geita
Amuua Rafiki Yake....... Ala Ubongo wake na Sehemu Za Siri


Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dkt. Avemaria Semakafu ametatua utata ulioibuka kuhusu kigezo cha umri wa mwanafunzi kujiunga na masomo ya Sekondari kidato cha tano na sita na kusema taarifa ambayo inasambaa imekuwa na makosa.

Semakafu amesema kuwa yametokea makosa ya kiuandishi, amefafanua ili kujiunga na masomo ya kidato cha tano na sita mwanafunzi anatakiwa kuwa na umri usiozidi miaka 25.

Na kusema taarifa iliyodai mwanafunzi kujiunga na kidato cha tano anatakiwa kuwa na umri usiozidi miaka 20, ni taarifa iliyochapishwa kimakosa, hivyo ameomba radhi kwa usumbufu uliojitokeza kufuatia taarifa hiyo.

“Kumetokea makosa ya kiandishi, miaka ni 25 ya kujiunga sekondari na sio 20 kama ambavyo inasomeka kwenye ile karatasi” amesema Semakafu.

Makosa ya kiuandishi yalifanyika katika barua ambapo kipengele E, Kimefafanua kuwa Mwanafunzi atakayedahiliwa asiwe na umri zaidi ya miaka 20.



Taarifa hiyo imefanyiwa marekebisho, barua mpya iliyochapishwa imeeleza ili kudahiliwa kujiunga na kidato cha tano na sita, Kipengele D kinasema mwanafunzi asiwe na umri zaidi ya miaka 25 na imesainiwa na Kaimu katibu Mkuu, Dkt. Ave Maria Semakafu.




Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Semakafu atoa mwongozo umri wa mwanafunzi kujiunga kidato cha tano/sita, 2018
Semakafu atoa mwongozo umri wa mwanafunzi kujiunga kidato cha tano/sita, 2018
https://i0.wp.com/dar24.com/wp-content/uploads/2018/03/semakafu.jpg?resize=1080%2C640
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2018/03/semakafu-atoa-mwongozo-umri-wa.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2018/03/semakafu-atoa-mwongozo-umri-wa.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy