MARA: RC Adam Malima, amepiga marufuku utaratibu wa wananchi wa vijiji vya Remng’orori, Mikomarilo na Sirorisimba kupiga yowe pale inapo...
MARA: RC Adam Malima, amepiga marufuku utaratibu wa wananchi
wa vijiji vya Remng’orori, Mikomarilo na Sirorisimba kupiga yowe pale
inapotokea kuwapo na jambo la hatari
-
Wakazi wa vijiji hivyo vya Remng’orori, Mikomarilo na Sirorisimba vilivyoko katika wilaya za Bunda, Serengeti na Butiama wanagombania mipaka ya wilaya zao
-
Marufuku hiyo imekwenda sambamba na katazo la kuzuia shughuli zozote zikiwamo za kilimo eneo linalogombaniwa, kutotumiwa na pande zote hadi hapo Serikali itakapoamua vinginevyo, ikiwa ni njia pekee ya kuzuia athari zitakazoweza kutokea
-
Malima amewataka wananchi wa vijiji hivyo kutoa taarifa Jeshi la Polisi pale linapotokea jambo la kiuhalifu au linalohatarisha usalama wao, kuliko kujichukulia sheria mkononi na kusababisha uvunjifu wa amani