http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

Nondo wakimalizana naye Iringa watuletee - Makonda

Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam amefunguka na kusema kuwa jeshi la polisi likimalizana na Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi Tanzania...

Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam amefunguka na kusema kuwa jeshi la polisi likimalizana na Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi Tanzania (TSNP), Abdul Nondo wamlete Dar es Salaam kwani amedai haiwezekani akauchafua mkoa wake wa Dar es Salaam. 
Paul Makonda amesema hayo leo na kuwataka waandishi wa habari kutoandika habari ambazo hazijathibitishwa na mamlaka husika kwani wanaweza kupelekea taarifa kwa umma ambazo zinaweza kuleta taharuki kwa Umma.
"Juzi nimesikia sikia mmoja anasema ametekwa mimi nafikiri wakimalizana naye kule Iringa watuletee hapa Dar es Salaam, asituchafulie mkoa wetu na wengine wanaokimbia kuandika andika bila hata kuwa na ushahidi kwamba mtu ametekwa, wewe watu wamefunga chuo wanarudi majumbani kwao hata ikipotea network njiani fulani hatumuoni ametekwa ita waandishi wa habari toa kauli ifike hatua niwaombe waandishi wa habari angalieni taarifa mnazopeleka kwa Umma kama hazijathibitishwa na mamlaka husika achaneni nazo tusitengeneze taarifa ambayo ikifika kwa Umma inaleta taharuki isiyokuwa ya msingi" alisema Paul Makonda 
Abdul Nondo alitoweka katika mazingira ya kutatanisha akiwa jijini Dar es Salaam na baadae kuripotiwa kutekwa na watu wasiojulikana lakini alikuja kupatikana mkoani Iringa ambapo imedaiwa alitupwa huko, jeshi la polisi linaendelea kufanya uchunguzi juu ya tukio hilo la kutekwa kwa kijana huyo. 

COMMENTS


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

MAGAZETI$type=sticky$count=4


Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Nondo wakimalizana naye Iringa watuletee - Makonda
Nondo wakimalizana naye Iringa watuletee - Makonda
https://www.eatv.tv/sites/default/files/styles/detailpageimg/public/news/2018/03/09/Makonda%20nondo.jpg?itok=aBrOgR8L×tamp=1520615222
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2018/03/nondo-wakimalizana-naye-iringa.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2018/03/nondo-wakimalizana-naye-iringa.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy