http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

MWENYEKITI WA MTANDAO WA WANAFUNZI TANZANIA ALIYEPOTEA ATUPWA IRINGA

Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi Tanzania , Abdul Nondo ambaye pia ni Mwanafunzi wa Chuo Kikuu Dar es Salaam (UDSM) aliyeripotiwa kup...

Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi Tanzania , Abdul Nondo ambaye pia ni Mwanafunzi wa Chuo Kikuu Dar es Salaam (UDSM) aliyeripotiwa kupotea katika mazingira ya kutatanisha amepatikana akiwa hai eneo la Mafinga mkoani Iringa.


Imeelezwa kuwa, Nondo alijikuta katika eneo hilo baada ya kuzinduka kutoka katika lindi la usingizi na kuwauliza wenyeji wa eneo hilo kuwa hapo ni wapi? Wenyeji hao walimfahamisha kuwa yuko Mafinga mkoani Iringa na kisha akapelekwa katika kituo cha polisi kilichoko karibu.


Polisi walifanya mahojiano na mwanafunzi huyo ili kuweza kujua nini hasa kilitokea na baada ya hapo kupiga simu kwa ndugu zake.


Baada ya Baba mzazi, Mussa Mitumba kupata taarifa za kuonekana kwa mwanae, aliomba namba za askari aliyemfanyia mahojiano ili kujua nini kilimpata mwanae aweze kujua kama jambo jingine alilowaambia kuhusiana na kupotea kwake.


Awali kabla ya tukio hilo mwanafunzi huyo alielezea kwamba alikuwa akifuatiliwa mara kadhaa watu asiowatambua

COMMENTS


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

MAGAZETI$type=sticky$count=4


Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : MWENYEKITI WA MTANDAO WA WANAFUNZI TANZANIA ALIYEPOTEA ATUPWA IRINGA
MWENYEKITI WA MTANDAO WA WANAFUNZI TANZANIA ALIYEPOTEA ATUPWA IRINGA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg8CO4b-_AsPi8Z53xIgZxgklFqJGTVGSJBEg6zW-VR-XGZYoMEC5fB_-zm147OlciXMI3BQVCjCM5pkBUr-cUU91APki85nzcCmFMR80G8pcS_jwklT7Jgy81mzcdrfarhDpBfiSOoZ9M/s640/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg8CO4b-_AsPi8Z53xIgZxgklFqJGTVGSJBEg6zW-VR-XGZYoMEC5fB_-zm147OlciXMI3BQVCjCM5pkBUr-cUU91APki85nzcCmFMR80G8pcS_jwklT7Jgy81mzcdrfarhDpBfiSOoZ9M/s72-c/1.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2018/03/mwenyekiti-wa-mtandao-wa-wanafunzi_8.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2018/03/mwenyekiti-wa-mtandao-wa-wanafunzi_8.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy