http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

Mwanaharakati, Maria Sarungi afungua kesi ya madai dhidi ya Mhariri wa gazeti la Tanzanite

Mwanaharakati, Maria Sarungi afungua kesi ya madai dhidi ya Mhariri wa gazeti la Tanzanite, Cyprian Musiba kwa kumchafua na kumkashif...



Mwanaharakati, Maria Sarungi afungua kesi ya madai dhidi ya Mhariri wa gazeti la Tanzanite, Cyprian Musiba kwa kumchafua na kumkashifu mbele ya Wanahabari tarehe 25 Februari 2018
-
Musiba aliwataja Maria Sarungi pamoja na Maxence Melo, Evarist Chahali, Freeman Mbowe, John Heche, Mange Kimambi, Tundu Lissu, Godbless Lema, Julius Mtatiro na Zitto Kabwe kama watu hatari kwa usalama wa nchi katika orodha hiyo ya watu 10.
-

Kabla ya kufungua shauri hili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Maria alimtaka ndugu Musiba pamoja na Mkurugenzi wa gazeti la Tanzanite kuomba radhi ndani ya siku 7 lakini kwasababu zisizofahamika bwana Cyprian Musiba hakufanya hivyo
-
Aidha katika taarifa iliyotolewa na Wakili Benedict Ishabakaki imeeleza kuwa waendeshaji wa ukurasa wa Dar24 katika mitandao ya kijamii nao pia walitakiwa kufuta taarifa hiyo pamoja na kuomba radhi lakini licha ya kufuta taarifa ya kumchafua mteja wake bado wanasubiriwa waombe radhi la si hivyo watawaunganisha katika shauri hili

COMMENTS


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

MAGAZETI$type=sticky$count=4


Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Mwanaharakati, Maria Sarungi afungua kesi ya madai dhidi ya Mhariri wa gazeti la Tanzanite
Mwanaharakati, Maria Sarungi afungua kesi ya madai dhidi ya Mhariri wa gazeti la Tanzanite
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEifwdnix2ryP-hwrrSqIW-xAI7TgSi5Eu0LcyWFtiLl8mLyKMnjk7XYwM9dmMCc0eMQAov-B2z85okX8onb_ybsh6R7BOq7_HuVlFFgUv6aJd3i6Zy1ngVzkFIyNWm4w4xdb7eiqnslQcoY/s1600/28752698_177633932865750_3188087604583071744_n.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEifwdnix2ryP-hwrrSqIW-xAI7TgSi5Eu0LcyWFtiLl8mLyKMnjk7XYwM9dmMCc0eMQAov-B2z85okX8onb_ybsh6R7BOq7_HuVlFFgUv6aJd3i6Zy1ngVzkFIyNWm4w4xdb7eiqnslQcoY/s72-c/28752698_177633932865750_3188087604583071744_n.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2018/03/mwanaharakati-maria-sarungi-afungua.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2018/03/mwanaharakati-maria-sarungi-afungua.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy