Waziri wa Habari Sanaa, Utamaduni na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe ameeleza kukerwa na mwanamuziki Diamond Platnumz kutokana na kumdh...
Waziri wa Habari Sanaa, Utamaduni na Michezo, Dkt. Harrison
Mwakyembe ameeleza kukerwa na mwanamuziki Diamond Platnumz kutokana na
kumdhalilisha Naibu wake Juliana Shonza
-
Katika maelezo yake Mwakyembe amesema inaelekea Diamond ameanza kulewa umaarufu
-
Kuhusu hoja ya vikao anavyodai Diamond, Mwakyembe amesema “kama ni vikao na wasanii, tumefanya vingi sana, lakini Diamond hahudhurii vikao hivyo na si wajibu wa Serikali kumfanyia kikao chake mwenyewe, haijalishi ni maarufu kiasi gani."
-
Aidha, Waziri Mwakyembe amesema "si busara Diamond kushindana na Serikali, na kama ana ushauri basi autoe kistaarabu utazingatiwa lakini si kwa kumshambulia Naibu Waziri kwa dharau"
-
Baada ya kufungiwa kwa nyimbo zake mbili, Diamond alisema yeye haijamuathiri chochote maana hakupata barua na wala hakuambiwa kafungiwa kwa sababu gani maana kaona tu kwenye mitandao maana mambo hayo yamefanywa kwa kukurupuka