http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

Kauli ya Serikali Kuhusu Gazeti la Tanzanite Lililomwandika Mange Kimambi

Serikali kupitia kwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari (Maelezo) ambaye pia ni Msemaji wa Serikali, Dkt. Hassan Abbas imesema  imewaita w...


Serikali kupitia kwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari (Maelezo) ambaye pia ni Msemaji wa Serikali, Dkt. Hassan Abbas imesema  imewaita wahusika wa gazeti la Tanzanite ambalo limesambaa mitandaoni likiwa limebeba katika ukurasa wa mbele habari inayomhusu Mange Kimambi.

Katika taarifa aliyoitoa kupitia ukurasa wake wa Twitter, Dkt Abbas amesema kuwa, amelazimika kuwaita wahusika hao ambao atakutana nao leo ili aweze kusikiliza upande wao baada ya kupokea malalamiko mengi kuhusu maadili ya kitaaluma ya gazeti hilo.

Nakala ya gazeti hilo linaloonekana mitandao linaonyesha kuwa lilipaswa kutoka  Machi 5, kwani hata usajili wake ni wa mara moja kwa wiki (kila jumatatu).

COMMENTS


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

MAGAZETI$type=sticky$count=4


Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Kauli ya Serikali Kuhusu Gazeti la Tanzanite Lililomwandika Mange Kimambi
Kauli ya Serikali Kuhusu Gazeti la Tanzanite Lililomwandika Mange Kimambi
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiiZ84B99wDfOejD27OfvMQrToiVyf4XJzY6J_3WPvfIzhxN6s9cNcTb_Az45Y2LLoh7zKmOgzJF1eBxxeLjySLhRuQlhykDz0eMT23BbvoMrXOVC72LsOnvt39CNYRhPIcOc_S9oUHs54/s1600/3.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiiZ84B99wDfOejD27OfvMQrToiVyf4XJzY6J_3WPvfIzhxN6s9cNcTb_Az45Y2LLoh7zKmOgzJF1eBxxeLjySLhRuQlhykDz0eMT23BbvoMrXOVC72LsOnvt39CNYRhPIcOc_S9oUHs54/s72-c/3.JPG
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2018/03/kauli-ya-serikali-kuhusu-gazeti-la.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2018/03/kauli-ya-serikali-kuhusu-gazeti-la.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy