DAR: Jeshi la Polisi linamshikilia Seleman Masoud(68) kwa kugushi nyaraka mbalimbali za Serikali na vyeti ikiwamo mihuri 53 ya taasisi z...
DAR: Jeshi la Polisi linamshikilia Seleman Masoud(68) kwa
kugushi nyaraka mbalimbali za Serikali na vyeti ikiwamo mihuri 53 ya
taasisi za VETA, NECTA, TRA na wa Mkuu wa Chuo Kikuu Dar(UDSM). Baadhi
ya vyeti ni vya Chuo Kikuu cha Mzumbe
-
Aidha, Jeshi la Polisi linawashikilia watuhumiwa wanaotumia jina la taasisi ya Rais mstaafu wa awamu ya 4 Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete kujipatia kipato. Watu hao pia wanatumia jina la mama Salma Kikwete kukopa fedha kwenye VICOBA
-
Hayo yamesemwa na Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar, Lazaro Mambosasa wakati akiongea na Waandishi wa habari leo Machi 16, 2018
-
Mambosasa akizungumzia swala la Nondo amesema, Kuhusiana na taarifa za wakili wa mwanafunzi Abdul Nondo kuzuiliwa kuongea na mteja wake, napenda kusema taarifa hizo si kweli
-
Amesema wanaendelea kumshikilia Abdul Nondo kwa sababu za kiupelelezi. Amesema atafikishwa Mahakamani baada ya upelelezi kukamilika