Msani wa musiki wa kizazi kimpya BONGO FLAVE Diamond plantimz katika siku ya wanawake duniani 8/3/2018 ameandika ujumbe katika ukurasa wak...
Msani wa musiki wa kizazi kimpya BONGO FLAVE Diamond plantimz katika siku ya wanawake duniani 8/3/2018 ameandika ujumbe katika ukurasa wake wa instagram wakumtakia mama yake Happy women's Day kwa kumuhakikishia kufunga ndoa mwaka huu kama furaha ya mama yake.
"Inshaalah, Mwenyez Mungu anibariki Mwaka huu Mwanao nifanikishe Ndoa yangu na kukupa Furaha ya Milele ambayo siku zote umekuwa Ukiitaka..... @mama_dangote"
"Happy Women's day Mama na wanawake wote Ulimwenguni... Nashkuru sana kwa kunizaa na kunilea...Wewe ni Mboni na Nguzo ya Maisha yangu mama...Licha ya shida na Mateso uliyoyapata kwenye kunizaa na kunilea, lakini hata sasa ambapo ulitakiwa walau Upumzike nimekuwa nikikukosea kwa kukuingiza hata kwenye Matatizo Yasiyokuhusu...Wanakutukana, wanakukebehi na kukutupia kila neno lililo baya, yote kwa sababu yangu mimi, lakini sikuzote umekuwa mwenye kunisamehe, kunipenda na Kunithamini.....Nakupenda sana Mama, Na nisameh kwa yote nilokukosea... Inshaalah, Mwenyez Mungu anibariki Mwaka huu Mwanao nifanikishe Ndoa yangu na kukupa Furaha ya Milele ambayo siku zote umekuwa Ukiitaka..... @mama_dangote"