http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

Upasuaji Wa Kihistoria Wafanyika Moi Kwa Mafanikio


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

Madaktari Bingwa wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa  Muhimbili  (MOI) kwa kushirikiana na Madaktari wa Hosipitali ya BLK  India jana  wamefan...

Agizo la Rais Magufuli kwa Serikali ya mkoa wa Singida laanza kufanyiwa kazi
Ridhiwani Kikwete, Joseph Haule Walaani Kitendo cha Mkulima Kuchomwa Mkuki Mdomoni na Wafugaji
Auawa Kwa Kuchomwa Kisu Wakati Wakigombea Soda
Madaktari Bingwa wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa  Muhimbili  (MOI) kwa kushirikiana na Madaktari wa Hosipitali ya BLK  India jana  wamefanya upasuaji maalum wa mgongo kwa kutumia matundu (Minimal Invasive Spine Surgery) kwa mgonjwa aliyedhoofika uti wa mgongo.

Kwa Mujibu wa Taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa jana na Taasisi hiyo Jijini Dar es Salaam, Upasuaji  huo umefanywa kwa mafanikio makubwa ukiwashirikisha Madakatari Bingwa wanne wakiongozwa na Profesa Joseph Kahamba wa MOI  na Dkt. Puneet Girdhan kutoka hosipitali ya BLK.

Taarifa hiyo imebainisha kuwa upasuaji huo umefanyika kwa mafanikio makubwa kwa muda wa masaa manne ambapo pamoja na upasuaji huo,  MOI imeanzisha huduma za upasuaji wa magoti kwa njia ya matundu ( Athroscopy ).

“ Tayari wagonjwa 300 wameshafanyiwa upasuaji wa magoti kwa njia ya matundu kwa ufanisi mkubwa na wagonjwa wengine wameendelea kunufaika na huduma hii” Inasisitiza sehemu ya Taarifa hiyo

Kutokana na mabadiliko ya teknolojia ya matibabu, upasuaji wa kupanua njia za mishipa ya fahamu na kuimarisha uti wa mgongo kwa nyenzo za kisasa umeshika hatamu na Taasisi hiyo imeendelea kufanya mabadiliko ili kuendana na hali hiyo.

Taasisi ya MOI  na Hospitali ya BLK ya India zilianzisha ushirikiano mwaka 2016 na hii ni mara ya pili kwa wataalamu kutoka  hosipitali hizi kufanya upasuaji kwa kushirikiana.

Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Upasuaji Wa Kihistoria Wafanyika Moi Kwa Mafanikio
Upasuaji Wa Kihistoria Wafanyika Moi Kwa Mafanikio
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjjYDBBmgnSi5-Naq2_xaH19P5YPSS2Kdybzk5_dUGNbuy6nSqP3A-RqqbBGnDcgSQ5nO6O26oGIZESOd4GKHZuooAZDpY0sDKGMxhJD_0fnjt2tO7Fumh_5ZeYhmAYsYJLpDjwijxNjA0/s640/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjjYDBBmgnSi5-Naq2_xaH19P5YPSS2Kdybzk5_dUGNbuy6nSqP3A-RqqbBGnDcgSQ5nO6O26oGIZESOd4GKHZuooAZDpY0sDKGMxhJD_0fnjt2tO7Fumh_5ZeYhmAYsYJLpDjwijxNjA0/s72-c/1.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2018/02/upasuaji-wa-kihistoria-wafanyika-moi.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2018/02/upasuaji-wa-kihistoria-wafanyika-moi.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy