http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

Ndege yenye abiria 71 yaanguka baada ya kupoteza mawasiliano

Ndege iliyokuwa imebeba abiria 71 pamoja na mhudumu imeanguka baada ya kupoteza mawasiliano ilipokuwa ikiondoka uwanja wa mjini moscow nc...

Ndege iliyokuwa imebeba abiria 71 pamoja na mhudumu imeanguka baada ya kupoteza mawasiliano ilipokuwa ikiondoka uwanja wa mjini moscow nchini Urusi.
Ndege hiyo ya shirika la Saratov ya An-148, ilikuwa safarini kwenda mji wa Orsk wakati ilipoteza mawasiliano.
Maafisa wa huduma dharura wameviambia vyombo vya habari kuwa ndege hiyo ilianguka karibu na Argunovo kilomita 80 kusini mashariki mwa Moscow na hakuna uwezekano wa kuwapata manusura.
Kulingana na shirika lingine na habari ndege hiyo ilipotea kutoka mitambo ya rada dakika mbili baada ya kuondoka uwanja wa Domodedovo.

COMMENTS


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

MAGAZETI$type=sticky$count=4


Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Ndege yenye abiria 71 yaanguka baada ya kupoteza mawasiliano
Ndege yenye abiria 71 yaanguka baada ya kupoteza mawasiliano
https://i2.wp.com/dar24.com/wp-content/uploads/2018/02/99976222_70072b51-ce22-44a5-8143-c351e99f0347.jpg?resize=660%2C371
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2018/02/ndege-yenye-abiria-71-yaanguka-baada-ya.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2018/02/ndege-yenye-abiria-71-yaanguka-baada-ya.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy