WANGING'OMBE, NJOMBE: Mwanamke amuua mumewe kwa shoka kisha naye kujinyonga kwa kamba baada ya mume kuoa mke wa pili - Msemaji wa Fa...
WANGING'OMBE, NJOMBE: Mwanamke amuua mumewe kwa shoka kisha naye kujinyonga kwa kamba baada ya mume kuoa mke wa pili
-
Msemaji wa Familia upande wa mume amesema waliwahi kusuluhisha mgogoro huo, baadae walienda ofisi ya Kata na kumaliza msuguano wao
-
Kaimu Afisa Mtendaji wa Kijiji, Pascal Mpumbi alisema tukio hilo lilitokea majira kati ya saa 6 - 7 usiku ambapo alipigiwa simu na majirani
by jamiiforum



