http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

Trump aipiga marufuku Zimbabwe kuacha kutumia Dola ya Marekani

Rais wa Marekani, Donald Trump amesema utawala wake uko tayari kufanya kazi na Rais Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe lakini amesisitiza kuw...

Rais wa Marekani, Donald Trump amesema utawala wake uko tayari kufanya kazi na Rais Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe lakini amesisitiza kuwa hilo litawezekana iwapo taifa hilo litaacha kuendelea kutumia Dola ya Marekani.

Amelitaka kutotumia dola hiyo na badala yake lianzishe mfumo utakaohakikisha linatumia sarafu yake ya Zimbabwe. Kwa miaka mingi Zimbabwe ilikoma kutumia sarafu yake na kutumia ile ya Marekani hali ambayo ilikosolewa vikali na wanauchumi.

Duru za habari zimenukuu Waziri anayeshughulikia masuala ya Afrika, Don Yamamoto akisema Zimbabwe anapaswa kudhibiti uchumi wake na siyo kuendelea kutegemea sarafu ya nje.

“ Hivi leo hali ya uchumi wa Zimbabwe ni mbaya. Taifa hili linaagiza chakula kutoka nje, taasisi zake za kiuchumi hazipo katika hali nzuri. Wamelazimika kutumia Dola ya Marekani. Hawapaswi kutegemea sarafu ya Marekani au taifa lingine lolote la kigeni. Haya ndiyo mageuzi tunayopenda kuona yakifanyika sasa,” amenukuliwa waziri huyo akisema.

Amesema Marekani iko tayari kusaidia magaeuzi ya kiuchumi na kisiasa nchini Zimbabwe ili kurejesha taifa hilo katika hali yake ya kawaida. Hatua hiyo imekuja huku Rais Mnangagwa akiyataka mataifa ya magharibi kuliondolewa vikwazo taifa lake vilivyowekwa wakati wa utawala wa mtangulizi wake, Robert Mugabe.

COMMENTS


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

MAGAZETI$type=sticky$count=4


Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Trump aipiga marufuku Zimbabwe kuacha kutumia Dola ya Marekani
Trump aipiga marufuku Zimbabwe kuacha kutumia Dola ya Marekani
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjgFb7fr5_byRQSFGNQBWauG4DXaxvIBKIP0UB6YMxNrva2PB7fflC0J7N_j1n3Z-Q8atoITIptkICC6eFnZodyuVV5ANLdYEEmwVQA2Lu0_gZdBt_is35I7T70pHxtsHUiN3Gi3zAer8P9/s1600/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjgFb7fr5_byRQSFGNQBWauG4DXaxvIBKIP0UB6YMxNrva2PB7fflC0J7N_j1n3Z-Q8atoITIptkICC6eFnZodyuVV5ANLdYEEmwVQA2Lu0_gZdBt_is35I7T70pHxtsHUiN3Gi3zAer8P9/s72-c/1.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2017/12/trump-aipiga-marufuku-zimbabwe-kuacha.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2017/12/trump-aipiga-marufuku-zimbabwe-kuacha.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy