http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

Serikali yatoa onyo kali

Wafanyabiashara wa mbolea nchini wametakiwa kuuza bidhaa hiyo kwa kufuata bei elekezi zilizotangazwa na Waziri wa K...

Wafanyabiashara wa mbolea nchini wametakiwa kuuza bidhaa hiyo kwa kufuata bei elekezi zilizotangazwa na Waziri wa Kilimo na Mifugo Dkt. Charles Tizeba , kwani lengo la serikali ni kuhakikisha wakulima wanapata mbolea ya uhakika na kwa be nafuu. 

Agizo hilo limetolewa leo Jijini Dar es Salaam na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea TFRA Bw. Lazaro Kitandu, katika mahojiano aliyoyafanya na vyombo vya habari, kufuatia taarifa za kuwepo kwa wafanyabiashra wachache wanaotaka kuvuruga nia hiyo nzuri ya serikali kwa kuanza ulanguzi wa mbolea
Aidha, Bw. Kitandu ametaja sababu ya kuwa na bei elekezi ya mbolea kuwa ni kukuza kilimo na kuongeza mavuno ya mazao ambayo ndio malighafi kuu inayohitajika wakati huu ambapo serikali inatekeleza mipango ya ukuaji wa viwanda, kama msingi mkuu wa kufikia malengo ya kuwa taifa la uchumi wa kati ifikapo mwaka 2015.

COMMENTS


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

MAGAZETI$type=sticky$count=4


Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Serikali yatoa onyo kali
Serikali yatoa onyo kali
http://www.eatv.tv/sites/default/files/styles/detailpageimg/public/news/2017/10/03/Tanzania.jpg?itok=zVZM6U1m×tamp=1507053375
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2017/10/serikali-yatoa-onyo-kali.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2017/10/serikali-yatoa-onyo-kali.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy