http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

Mwandishi nguli wa habari za uchunguzi auawa

Mwandishi maarufu wa habari za uchunguzi katika visiwa vya Malta ameuawa wakati gari alilokuwa akiliendesha kulipuliwa na bomu visiwani h...


Mwandishi maarufu wa habari za uchunguzi katika visiwa vya Malta ameuawa wakati gari alilokuwa akiliendesha kulipuliwa na bomu visiwani humo.
Daphne Caruana Galizia ambaye alikuwa mwandishi nguli nchini humo, alikuwa akiitumia blogu yake kuandika taarifa zinazohusu kesi za madai ya rushwa zikiwemo za wanasiasa visiwani humo.
Aidha, wakati wa uhai wake, Dphine alikuwa akimshutumu waziri mkuu wa visiwa hivyo, Joseph Muscat, na mkewe kutumia akaunti za benki za siri ili kuficha malipo kutoka kwa familia ya utawala wa Azerbaijan suala ambalo waziri mkuu na familia yake wamelikana.

Hata hivyo, kwa upande wake waziri mkuu wa visiwa hivyo, Muscat amelaani mauaji hayo ambayo ameyaita ni ya kinyama, hivyo na kuahidi kuhakikisha wanakamatwa wote waliotekeleza mauaji hayo.

COMMENTS


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

MAGAZETI$type=sticky$count=4


Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Mwandishi nguli wa habari za uchunguzi auawa
Mwandishi nguli wa habari za uchunguzi auawa
https://i1.wp.com/dar24.com/wp-content/uploads/2017/10/Malta.jpg?resize=695%2C463
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2017/10/mwandishi-nguli-wa-habari-za-uchunguzi.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2017/10/mwandishi-nguli-wa-habari-za-uchunguzi.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy