http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

LOWASSA AWAKARIBISHA CHADEMA WANA CCM WALIKATWA KWENYE UCHAGUZI

Dar es Salaam. Waziri mkuu mstaafu, Edward Lowassa amesema kuwa anawakaribisha Chadewa wale wote waliokatwa CCM. Katika taarifa yake k...



Dar es Salaam. Waziri mkuu mstaafu, Edward Lowassa amesema kuwa anawakaribisha Chadewa wale wote waliokatwa CCM.

Katika taarifa yake kwa vyombo vya habari leo Alhamisi, Lowassa amesema, “nimesoma na kusikia baadhi ya waliokuwa viongozi katika Chama Cha Mapinduzi wamekatwa ama kutetea nafasi zao au kugombea, kwa sababu mbalimbali. Na jina langu limekuwa likiendelea kutajwa tajwa humo,”

“Mimi nawaambia hawa Watanzania wenzetu waliokatwa huko CCM nawakaribisha huku Ukawa wafurahie demokrasia. Huku niliko kuna maisha mazuri ya kisiasa, uhuru wa fikra na demokrasia halisi.”

Lowassa amesema Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Nyerere alisema ni wakati muafaka kwa Tanzania kuwa na mfumo wa vyama vingi, pamoja na kwamba maoni ya Watanzania wengi wakati ule kupitia tume ya Nyalali(Jaji Francis) kutaka kuendelea na mfumo wa chama kimoja.

“Nataka kuwakumbusha Watanzania wenzangu hawa, uamuzi ule wa Baba wa Taifa, ulilenga kuwapa Watanzania demokrasia ya kuwa na uwanja mpana wa kufanya siasa,”

“Mimi nimetumia fikra hizo za mwalimu na hakika hivi sasa ninafurahia demokrasia halisi huku niliko. Kwa wote waliokatwa na wanahisi wameonewa waondokane na unyonge wa fikra kudhani kuwa bila CCM hakuna maisha...waje huku tufanye siasa kwa manufaa ya wananchi wetu.”

Lowassa amewaomba wanaChadema wenzake kuwapokea kwa mikono miwili na wale wanaoendelea kubaki huko CCM waendelee kushikamana hadi uchaguzi mkuu ujao 2020 ambapo upinzani utakapoonyesha makucha yao.

“Vitisho na nguvu ya dola inayotumika kujaribu kutunyamazisha sisi wa upinzani isiwatishe wala kuwaongofya hata mara moja.”

COMMENTS


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

MAGAZETI$type=sticky$count=4


Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : LOWASSA AWAKARIBISHA CHADEMA WANA CCM WALIKATWA KWENYE UCHAGUZI
LOWASSA AWAKARIBISHA CHADEMA WANA CCM WALIKATWA KWENYE UCHAGUZI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiqCix8avfGBEhd4voJA4EILUdbCI2_KAXKmxyGjAXiju0AoLgCjA24T9Lk5VZ6xr7dxczA4o0pRQSJYCF-McoPlX5CBcCqYMxYwer0Zc-YF0g4UmO9DEDKvrmfDfxHK_wJYsp680nvfI3t/s640/13-37-45-pic%252Blowassa.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiqCix8avfGBEhd4voJA4EILUdbCI2_KAXKmxyGjAXiju0AoLgCjA24T9Lk5VZ6xr7dxczA4o0pRQSJYCF-McoPlX5CBcCqYMxYwer0Zc-YF0g4UmO9DEDKvrmfDfxHK_wJYsp680nvfI3t/s72-c/13-37-45-pic%252Blowassa.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2017/10/lowassa-awakaribisha-chadema-wana-ccm.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2017/10/lowassa-awakaribisha-chadema-wana-ccm.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy