http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

Wawili wafariki na wengine 40 Kujeruhiwa kwa ajali ya basi

Watu wawili wamefariki dunia huku wengine zaidi ya arobaini wakiwa wamejeruhiwa kufuatia ajali ya basi aina ya Fuso yenye...


Watu wawili wamefariki dunia huku wengine zaidi ya arobaini wakiwa wamejeruhiwa kufuatia ajali ya basi aina ya Fuso yenye namba za usajili T 606 CTY ya kampuni ya Kisumapai linalofanya safari zake kati ya Songea, Mbinga na Nyasa.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma Gemini Mushi amethibitisha kutoa kwa ajali hiyo na kusema kuwa watu wawili wamefariki hapo hapo huku majeruhi wengine wakiwa wamepelekwa katika hospitali ya Wilaya ya Mbinga kwa matibabu.
"Gari hiyo ilikuwa inaendeshwa na dereva Ismail Mohamed Nasoro ilianguka na kupoteza maisha ya watu wawili hapo hapo, huku watu 42 wakiwa wamejeruhiwa mpaka sasa jumla ya majeruhi 33 kati yao walipata matibabu na kuhurusiwa na wengine 9 wanaendelea na matibabu katika hospitali ya Wilaya ya Mbinga, Mbuyura" alisema Gemini 
Baadhi ya majeruhi wamedai kuwa chanzo cha ajali hiyo ni mwendokasi wa dereva pamoja na bus hilo kuwa limebeba abiria wengi zaidi kuliko uwezo wake

COMMENTS


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

MAGAZETI$type=sticky$count=4


Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Wawili wafariki na wengine 40 Kujeruhiwa kwa ajali ya basi
Wawili wafariki na wengine 40 Kujeruhiwa kwa ajali ya basi
http://www.eatv.tv/sites/default/files/styles/detailpageimg/public/news/2017/09/24/Ajali%20.jpg?itok=l2JnN9Y-×tamp=1506255160
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2017/09/wawili-wafariki-na-wengine-40.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2017/09/wawili-wafariki-na-wengine-40.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy