http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

Utafiti: Nyama ya nguruwe ni hatari kwa afya yako

Nchini Tanzania nyama ya nguruwe ni maarufu katika maeneo mbali mbali ya starehe na imepewa majina mengi ,kama vile mkuu wa meza, kiti mot...

Nchini Tanzania nyama ya nguruwe ni maarufu katika maeneo mbali mbali ya starehe na imepewa majina mengi ,kama vile mkuu wa meza, kiti moto na mengineyo mengi.

Hata hivyo utafiti wa kisayansi kutoka chuo kikuu cha kilimo cha sokoine ( SUA), umebaini kuwa walaji wa nyama ya nguruwe wako katika hatari ya kupata magonjwa kama vile kifafa kutokana na mnyoo Tegu uliopo kwenye nyama ya nguruwe.

Mwandishi wa BBC Maximiliana Mtenga amezungumza na mtafiti wa magonjwa ya binadamu na wanyama Dkt. Boa Mathias Emanuel kutoka chuo kikuu cha SUA, na kwanza amemuuliza ueneaji wa ugonjwa huu

COMMENTS


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

MAGAZETI$type=sticky$count=4


Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Utafiti: Nyama ya nguruwe ni hatari kwa afya yako
Utafiti: Nyama ya nguruwe ni hatari kwa afya yako
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEioRxOYE3DKYDQbW4kPx8BtRvbTBgUmyiqM5skM0amYUiJDLfuK9eBGFTcDlA5G6KFWz_u0j6h_YXfuvKXtyD_blxDHddsWDnFYiL0pejcFctlSbomKXzak1geEInh715WJ8xFqTDF8Genf/s640/dawa%252Bya%252Bminyoo..jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEioRxOYE3DKYDQbW4kPx8BtRvbTBgUmyiqM5skM0amYUiJDLfuK9eBGFTcDlA5G6KFWz_u0j6h_YXfuvKXtyD_blxDHddsWDnFYiL0pejcFctlSbomKXzak1geEInh715WJ8xFqTDF8Genf/s72-c/dawa%252Bya%252Bminyoo..jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2017/09/utafiti-nyama-ya-nguruwe-ni-hatari-kwa.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2017/09/utafiti-nyama-ya-nguruwe-ni-hatari-kwa.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy