Ukweli kuhsu fedha za matibabu ya Tundu Lissu zilizoipwa wakati wa ukodishaji wa ndege ya kumpeleka Nairobi Nchini kenya umepatikana. ...
Ukweli kuhsu fedha za matibabu ya Tundu Lissu zilizoipwa wakati wa ukodishaji wa ndege ya kumpeleka Nairobi Nchini kenya umepatikana.

Mbunge wa Mpendae, Salim Hassan Turky (CCM),pichani, amesema Chadema ndiyo waliolipa gharama za ndege iliyomsafirisha Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu, kwenda Nairobi baada ya yeye kuwadhamini kwa kuwa hawakuwa na fedha taslimu za kulipia wakati huo. Chadema wamelipa fedha hizo leo saa sita mchana. #MTANZANIA



