http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

Rais Magufuli avunja mamlaka Kigamboni

Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli amevunja Mamlaka ya uendelezaji wa Mji wa Kigamboni (KDA) kuanzia leo ...









Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli amevunja Mamlaka ya uendelezaji wa Mji wa Kigamboni (KDA) kuanzia leo Septemba 13, 2017

Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni Hashim Mgandilwa amethibitisha hilo na kusema kuwa Rais Magufuli ni msikivu kwani amesikia kilio cha watu wa Kigamboni na kuamua kuivunja mamlaka hiyo ya Uendelezaji wa Mji wa Kigamboni (KDA).

"Usikivu ni sehemu ya utatuzi hatimaye Rais wa Jamhuli ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli aridhia uvunjwaji wa Mamlaka ya uendelezaji wa mji wa Kigamboni (KDA). Akizungumza Waziri wa Ardhi Mhe. Lukuvi leo katika ukumbi wa chuo cha kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere amesema "Mhe. Rais ameniagiza niwaalifu kuwa leo amevunja rasmi KDA, Ahsante Mhe. Rais kwa kutusikiliza" alisema Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni Mgandilwa Mwezi Jun, mwaka huu Mbunge wa Kigamboni, Dk Faustine Ndugulile aliiomba serikali kukabidhi majukumu yote, yaliyokuwa yakifanywa na KDA kwa Halmashauri ya Manispaa hiyo ili kuyatekeleza na kuendeleza mji mpya wa Kigamboni.

COMMENTS


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

MAGAZETI$type=sticky$count=4


Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Rais Magufuli avunja mamlaka Kigamboni
Rais Magufuli avunja mamlaka Kigamboni
http://www.eatv.tv/sites/default/files/styles/detailpageimg/public/news/2017/09/13/Kigamboni.jpg?itok=EUgKKb-9×tamp=1505293741
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2017/09/rais-magufuli-avunja-mamlaka-kigamboni.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2017/09/rais-magufuli-avunja-mamlaka-kigamboni.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy