http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

Mwanasiasa maarufu wa upinzani atekwa nyara

Mwanasiasa maarufu wa upinzani nchini Burundi ametekwa nyara katika mji mkuu wa nchi hiyo na watu wenye silaha wakiwa wamevalia sare ...







Mwanasiasa maarufu wa upinzani nchini Burundi ametekwa nyara katika mji mkuu wa nchi hiyo na watu wenye silaha wakiwa wamevalia sare za jeshi la polisi, kwa mujibu wa familia yake.

Leopold Habarugira mwenye umri wa miaka 54, ndiye mweka hazina wa chama cha upinzani cha Union for Peace and Development (UPD), na miongoni mwa wanachama wachache wa upinzani waliobakia katika taifa hilo tangu lilipotumbukia katika mgogoro mwaka 2015.

Mke wake wake, Liberates Nzitonda, ameliambia shirika la habari la Ujerumani (dpa) kwamba yeye na mume wake walikuwa wanafanya mazoezi na ghafla wakaona gari linakuja upande wao, likiwa na watu watatu wenye silaha na wakiwa wamevalia sare za polisi, ambao walimchukuwa mume wake na kumlazimisha kuingia kwenye gari lao.

Lakini msemaji wa jeshi la polisi Pierre Nkurikiye, amesema mamlaka hazina taarifa kuhusu utekaji huo.

COMMENTS


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

MAGAZETI$type=sticky$count=4


Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Mwanasiasa maarufu wa upinzani atekwa nyara
Mwanasiasa maarufu wa upinzani atekwa nyara
http://www.eatv.tv/sites/default/files/styles/detailpageimg/public/news/2017/09/13/Pingu.jpg?itok=3wctJChX×tamp=1505325570
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2017/09/mwanasiasa-maarufu-wa-upinzani-atekwa.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2017/09/mwanasiasa-maarufu-wa-upinzani-atekwa.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy