http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

MSIBA: Mmoja wa Wabunge 8 wateule wa CUF amefariki Dunia

Moja ya stori ambazo zilikamata headlines siku za hivi karibuni ilikuwa ni kuhusu ya Wabunge nane wa Viti Maalumu wa Chama cha Wananchi, C...



Moja ya stori ambazo zilikamata headlines siku za hivi karibuni ilikuwa ni kuhusu ya Wabunge nane wa Viti Maalumu wa Chama cha Wananchi, CUF kufutwa uanachama kisha chama hicho kuteua Wabunge wangine kuziba nafasi zao.

Sasa taarifa iliyonifikia ni kuwa mmoja kati ya Wabunge nane wateule, Bi. Hindu Hamis Mwenda amefariki jana jioni katika Hospitali ya Taifa Muhimbili alipokuwa anapatiwa matibabu baada ya kusumbuliwa kwa muda mrefu na ugonjwa wa kisukari.

Bi. Hindu alikuwa mmoja wa Wabunge nane wa Viti Maalum waliotakiwa kuapishwa na Bunge September 5, 2017 baada ya kuteuliwa na CUF na kuthibitishwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi July 27, 2017 kuchukua nafasi ya Wabunge nane wa Viti Maalum waliofutwa Uanachama wa chama hicho licha ya uteuzi wao kupingwa Mahakamani.

COMMENTS


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

MAGAZETI$type=sticky$count=4


Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : MSIBA: Mmoja wa Wabunge 8 wateule wa CUF amefariki Dunia
MSIBA: Mmoja wa Wabunge 8 wateule wa CUF amefariki Dunia
http://s3-us-west-2.amazonaws.com/millard-ayo-bucket/wp-content/uploads/2017/09/02085613/o-EMPTY-HOSPITAL-BED--660x400.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2017/09/msiba-mmoja-wa-wabunge-8-wateule-wa-cuf.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2017/09/msiba-mmoja-wa-wabunge-8-wateule-wa-cuf.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy