http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

DEREVA WA MBUNGE WA CHADEMA AKATWA MAPANGA HUKO TARIME

Dereva wa Mbunge John Heche (CHADEMA) amevamiwa usiku wa kuamkia leo Ijumaa Septemba 15,2017 na watu wasiojulikana na kukatwa mapanga Mj...


Dereva wa Mbunge John Heche (CHADEMA) amevamiwa usiku wa kuamkia leo Ijumaa Septemba 15,2017 na watu wasiojulikana na kukatwa mapanga Mjini Tarime ambapo inaelezwa kuwa hali yake siyo nzuri.

Tukio hilo limetokea jana majira ya saa mbili usiku ambapo dereva huyo anadaiwa kukatwa mapanga kichwani.


Mbunge John Heche amethibitisha kutokea kwa tukio hilo kutokana na taarifa alizopata kupitia Katibu wake, Mrimi Zablon ambaye amekiri Dereva huyo anayefahamika kwa jina la Suez Daniel Maradufu ni kweli amepata shambulio hilo na sasa yupo hospitali akipatiwa matibabu.


Kwa upande wa Kamanda wa Polisi Tarime Rorya, SACP Henry Mwaibambe alipotafutwa kwa njia ya simu na Mwandishi wetu amesema yupo kwenye kikao na akimaliza atatoa ripoti kamili.


Dereva huyo amelazwa katika hospitali ya Bomani Tarime mkoani Mara.

COMMENTS


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

MAGAZETI$type=sticky$count=4


Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : DEREVA WA MBUNGE WA CHADEMA AKATWA MAPANGA HUKO TARIME
DEREVA WA MBUNGE WA CHADEMA AKATWA MAPANGA HUKO TARIME
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgfafb0ti3l08XVbtDOiada-IKNxtpEjE3j9FKdqkY_VjpDzsSDBS6YGX624GTcSwoSJwNH1zI6iDQofU56vkeuYCHnaaT9YmWEXDUA5qzuqjkEl7bm_s4bl4BF54l_z_klMIYwKJ_HyXe0/s640/heche+dereva.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgfafb0ti3l08XVbtDOiada-IKNxtpEjE3j9FKdqkY_VjpDzsSDBS6YGX624GTcSwoSJwNH1zI6iDQofU56vkeuYCHnaaT9YmWEXDUA5qzuqjkEl7bm_s4bl4BF54l_z_klMIYwKJ_HyXe0/s72-c/heche+dereva.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2017/09/dereva-wa-mbunge-wa-chadema-akatwa.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2017/09/dereva-wa-mbunge-wa-chadema-akatwa.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy