http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

Breaking News: VIDEO,Jambazi Aliyeongoza Mauaji ya Polisi 8 Kibiti Auawa -Dar

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, jana Septemba 12, maeneo ya Kivule Chanika lilifanikiwa kumuua jambazi sugu aitwae Anae R...




JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, jana Septemba 12, maeneo ya Kivule Chanika lilifanikiwa kumuua jambazi sugu aitwae Anae Rashid Kapela aliyekuwa akitafutwa na jeshi hilo kwa muda mrefu akituhumiwa kushiriki matukio mbalimbali ya ujambazi likiwemo la mauaji ya polisi wanane wilayani Kibiti.

Hayo yamesemwa leo na Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Mambosasa alipokuwa akizungumza na wanahabari jijini Dar.

“Baada ya kupewa taarifa na wasamalia wema, Jeshi hilo lilifika na kuizingira nyumba alimokuwa lakini alifanikiwa kutoka na kutaka akitoroka. Polisi walipomsimamisha alikimbia ndipo wakampiga risasi ya goti na kuanguka.

“Alipohojiwa aliwataja wenzake pamoja na matukio makubwa ya uhalifu aliyoshiriki kuyafanya likiwemo hilo la kuwaua Askari Polisi wanane na kupora silaha zao kisha kukimbia,” alisema Mambosasa
                                                                         TAZAMA HAPA

COMMENTS


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

MAGAZETI$type=sticky$count=4


Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Breaking News: VIDEO,Jambazi Aliyeongoza Mauaji ya Polisi 8 Kibiti Auawa -Dar
Breaking News: VIDEO,Jambazi Aliyeongoza Mauaji ya Polisi 8 Kibiti Auawa -Dar
https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2017/08/Kamanda-wa-Polisi-Mkoa-wa-Dodoma-Lazaro-Mambosasa1.jpg
https://i.ytimg.com/vi/STg452xNFi0/default.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2017/09/breaking-news-videojambazi-aliyeongoza.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2017/09/breaking-news-videojambazi-aliyeongoza.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy