http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

Yanga kukosa wachezaji hawa dhidi ya Simba

Yanga imethibitisha itawakosa wachezaji wake watatu katika mechi ya Ngao ya Jamii dhidi ya Simba kesho Jumatano. Mchezaji wa kwanza ni n...

Yanga imethibitisha itawakosa wachezaji wake watatu katika mechi ya Ngao ya Jamii dhidi ya Simba kesho Jumatano.

Mchezaji wa kwanza ni ni Obrey Chirwa ambaye anasumbuliwa na kifundo cha mguu na Geofrey Mwashiuya anayesumbuliwa na goti.

Pamoja na hao mawinga au viungo wa pembeni, Yanga itamkosa kipa wake Beno Kakolanya ambaye pia anasumbuliwa na bega.

Msemaji wa Yanga, Disman Ten amesema, ukiachana na wachezaji hao wengine wote wako fiti kabisa.

“Wengine wako katika hali nzuri kabisa na kilichobaki ni suala la mwalimu mwenyewe atasema anamtumia nani,” alisema.

COMMENTS


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

MAGAZETI$type=sticky$count=4


Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Yanga kukosa wachezaji hawa dhidi ya Simba
Yanga kukosa wachezaji hawa dhidi ya Simba
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEirU9wvduHWj4WFszwTQHeYr_IHkUD8hXzxNCe9as1Bf4QJ2qBMX2WxobaOs4VlSKnCQUOWbjEHstua0beraVEZ6T2JJFfEzKleFqwBxbV4pq8UumQo_X5ALoDDp9rdh4v9CD6SD8GZezGx/s640/yanga-2.png
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEirU9wvduHWj4WFszwTQHeYr_IHkUD8hXzxNCe9as1Bf4QJ2qBMX2WxobaOs4VlSKnCQUOWbjEHstua0beraVEZ6T2JJFfEzKleFqwBxbV4pq8UumQo_X5ALoDDp9rdh4v9CD6SD8GZezGx/s72-c/yanga-2.png
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2017/08/yanga-kukosa-wachezaji-hawa-dhidi-ya.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2017/08/yanga-kukosa-wachezaji-hawa-dhidi-ya.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy