Mkuu wa mkoa wa Arusha Mhe. Mrisho Gambo amefunguka na kusema wapo wanasiasa ambao wamekuwa wakitoa ahadi kwa wananchi wao kuwa wakiwapigia...
Mkuu wa mkoa wa Arusha Mhe. Mrisho Gambo amefunguka na kusema wapo wanasiasa ambao wamekuwa wakitoa ahadi kwa wananchi wao kuwa wakiwapigia kura na kushika nafasi fulani za uongozi kuwa watawapa ardhi.
Gambo amedai kuwa mashamba hayo mkoani kwake hayawezi kugaiwa kama njugu kwani wapo watu ambao waliwahi kupewa mashamba hayo kipindi cha nyuma na waliyauza badala ya kufanyia kilimo au maendeleo.
MTAZAME HAPA By >>>eatv



