http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

Dalili 5 Za Mwanaume Anayekupenda Kwa Dhati

Undapo utaona dalili hizi kwa mwezi wako wa kiume basi tambua fika basi, ya kwamba anMapenzi ya kweli. 1. Anakusaidia fedha pale unap...



Undapo utaona dalili hizi kwa mwezi wako wa kiume basi tambua fika basi, ya kwamba anMapenzi ya kweli.


1. Anakusaidia fedha pale unapokua umekwama kabisa, yuko na jukumu la kukusaidia kiuchumi.
Anapenda kukupa kile ambacho amejaaliwa nacho. Hana mkono wa birika, Huyu anakupenda!


2. Anazungumzia future yake na wewe, mipango ya baadae pamoja na wewe, huyu anayo dhamira ya dhati ku Anakupigia simu mara kwa mara na kukuuliza siku yako imeendaje. Anafanya hivi kirafiki na kwa upendo, haigizi. Anakupenda kweli.


3. Anakutembelea mara kwa mara, anakuwa karibu na wewe kipindi unaumwa, hii inamaanisha kwamba yupo tayari kukuvumilia katika shida na raha. Mpende mwanaume huyu.


4. Anawapenda ndugu zako kama ndugu zake. Anaongea nao vizuri na kusaidiana mambo ya hapa na pale. Mtizame kwa jicho la tatu huyu mwanaume!



5. Anaongea na wewe kwa adabu na kwa upole, anakukosoa bila wasiwasi kama kuna mambo unaenenda visivyo. Anakuelekeza njia zilizonyoka..sio wa kumuacha huyu!

COMMENTS


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

MAGAZETI$type=sticky$count=4


Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Dalili 5 Za Mwanaume Anayekupenda Kwa Dhati
Dalili 5 Za Mwanaume Anayekupenda Kwa Dhati
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjWkyyQhl8qKan3vC0WFSD-rv80ohPkCTWJEG5C3MWN9UMdYS6zBt3XEE_7ZqsW4X6K_YhuZ6RIfdZcNEo32ZUZhXuld4VUvmQFaY4EvDrgCiF3hteZHDMU09cXO0mJ29UJiTQS3X6ZQXw/s640/black-.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjWkyyQhl8qKan3vC0WFSD-rv80ohPkCTWJEG5C3MWN9UMdYS6zBt3XEE_7ZqsW4X6K_YhuZ6RIfdZcNEo32ZUZhXuld4VUvmQFaY4EvDrgCiF3hteZHDMU09cXO0mJ29UJiTQS3X6ZQXw/s72-c/black-.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2017/08/dalili-5-za-mwanaume-anayekupenda-kwa.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2017/08/dalili-5-za-mwanaume-anayekupenda-kwa.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy