http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

Bangi Za Mponza Mbunge wa jimbo la Tarime vijijini John Heche

Mbunge wa jimbo la Tarime vijijini, kwa tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche jana alikamatwa na polisi alipo...


Mbunge wa jimbo la Tarime vijijini, kwa tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche jana alikamatwa na polisi alipokwenda kituo cha polisi cha Tarime kufuatilia kukamatwa kwa Katibu wake.

Mbunge wa Jimbo la Serengeti Marwa Ryoba amesema kuwa polisi walimkamata Heche kutokana na kauli zake ikiwepo kauli ya kutaka kilimo cha bangi kihalalishwe pamoja na kauli yake ya kuzuia shughuli za ACACIA.

"Mhe. Heche alifika Polisi Tarime kwa ajili ya kufuatilia kukamatwa kwa Katibu wake, katika hali ya kushangaza naye akawekwa chini ya ulinzi na RCO na baadae kuelezwa kuwa alikuwa akitafutwa kwa makosa mawili

"Kosa la kwanza ni Kauli aliyoitoa mapema mwaka huu katika mkutano wa hadhara Sirari ya kwamba atapeleka hoja bungeni aiombe serikali ihalalishe kilimo cha bangi na pili kauli yake ya hivi karibuni kuhusu kuzuia shughuli za ACACIA Nyamongo kufuatia Kauli ya Rais kwamba mgodi huo haupo kihalali nchini." alisema Marwa Ryoba

Aidha Mbunge Marwa anasema kuwa Heche alikataa kutoa maelezo yoyote polisi na jeshi la polisi limechukua simu zake zote

"Walimwachia Heche ila wakachukua simu zake zote na kumtaka afike polisi Jumatatu kwa mahojiano. Alikataa kuchukuliwa maelezo yoyote kwa kuwa hakuwa amekwenda Polisi kwa mambo hayo bali kushughulikia kukamatwa kwa Katibu wake, hivyo amejidhamini na kuondoka ila simu zimebaki Polisi" alisema Marwa Ryobaa

COMMENTS


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

MAGAZETI$type=sticky$count=4


Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Bangi Za Mponza Mbunge wa jimbo la Tarime vijijini John Heche
Bangi Za Mponza Mbunge wa jimbo la Tarime vijijini John Heche
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgEg_XOJqvHA0KcUAVcUyBy5OW_IySw8BGEcDSn-EHh_e0AH4IUxHvTFbDQUBX5ozFB1W2eAKN30cSFdayjBLBbCSUyjn9f7XlgpkG9AHb_pg_P75GNgtc7uCYhgVeh-WQERoJaX1i67JhR/s640/1.jpeg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgEg_XOJqvHA0KcUAVcUyBy5OW_IySw8BGEcDSn-EHh_e0AH4IUxHvTFbDQUBX5ozFB1W2eAKN30cSFdayjBLBbCSUyjn9f7XlgpkG9AHb_pg_P75GNgtc7uCYhgVeh-WQERoJaX1i67JhR/s72-c/1.jpeg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2017/08/bangi-za-mponza-mbunge-wa-jimbo-la.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2017/08/bangi-za-mponza-mbunge-wa-jimbo-la.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy