http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

AUAWA KWA KUCHOMWA KISU BAADA YA KUMTUHUMU MPENZI WAKE KACHEPUKA KISHA KWENDA KUOGA HARAKA

MSICHANA mwenye umri wa miaka 25, Janet Mwenda anashikiliwa na Polisi mkoani Mara kwa tuhuma ya kumuua kwa kisu mpenzi wake, Mgini Aaron (3...


MSICHANA mwenye umri wa miaka 25, Janet Mwenda anashikiliwa na Polisi mkoani Mara kwa tuhuma ya kumuua kwa kisu mpenzi wake, Mgini Aaron (37).


Mauaji hayo yalitokea juzi saa 11 jioni katika Kitongoji cha Kitaramanka Kijiji cha Magunga Kata ya Mirwa wilayani Butiama, ambako mtuhumiwa huyo alimchoma kisu hicho katika titi la kushoto na kusababisha kifo cha mpenzi wake huyo.


Akithibitisha mauaji hayo, Kamanda wa Polisi wa Mara, Jafari Mohamed alisema chanzo cha mauaji hayo ni wivu wa mapenzi, baada ya Janet kufika nyumbani akitoka matembezini na kuingia bafuni kuoga na ndipo mpenzi wake alipomtuhumu kwa kumsaliti huko alikotoka.


Kamanda Mohamed alisema Aaron alipoona mpenzi wake akioga, aliona si hali ya kawaida na ndipo alipoanza kumpiga kwa kumtuhumu kusaliti na ndipo mtuhumiwa alipochukua kisu na kumchoma na kusababisha kifo chake.


Mwili wa marehemu, umehifadhiwa katika hospitali ya mkoa kwa uchunguzi zaidi wa kitabibu.


IMEANDIKWA NA PENDO MWAKYEMBE, BUTIAMA

COMMENTS


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

MAGAZETI$type=sticky$count=4


Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : AUAWA KWA KUCHOMWA KISU BAADA YA KUMTUHUMU MPENZI WAKE KACHEPUKA KISHA KWENDA KUOGA HARAKA
AUAWA KWA KUCHOMWA KISU BAADA YA KUMTUHUMU MPENZI WAKE KACHEPUKA KISHA KWENDA KUOGA HARAKA
http://habarileo.co.tz/images/KISU-CHOMA.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2017/08/auawa-kwa-kuchomwa-kisu-baada-ya.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2017/08/auawa-kwa-kuchomwa-kisu-baada-ya.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy